Tabibu Wa Kinywa Na Meno Daraja La II (Dental Therapist Grade II)

Public Service Recruitment Secretariat
Tanzania
full_time

Job Description

Nafasi 17

4.1 MAJUKUMU YA KAZI

i. Kazi zote zinazofanywa na Tabibu Msaidizi.
ii. Kutambua na kutibu magonjwa ya kawaida.
iii. Kusimamia utendaji wa watumishi walio chini yake na kufanya upasuaji
mdogo.
iv. Kushiriki katika kupanga na kutekeleza Huduma za Afya Msingi.
v. Kushauri na kuhamasisha wananchi kuchangia huduma za Afya za
Mfuko wa Afya ya Jamii.
vi. Kuweka kumbukumbu za vifaa na zana za kutolea huduma.
vii. Kuweka kumbukumbu, kuandaa na kutoa taarifa za utekelezaji.
viii. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi

4.2 SIFA ZA MWOMBAJI

Kuajiriwa wenye Stashahada ya Tabibu wa Meno (Diploma in Clinical Dentistry) kutoka
Chuo kinachotambuliwa na Serikali, pia awe amesajiliwa na Baraza la Madaktari.

4.3 NGAZI YA MSHAHARA

TGHS B

How to Apply

How to apply is available to members

The employer’s application route — the email, portal or form, and the deadline — opens as soon as you have a free account.

Create a free account or log in
Practice Interview
00:00

Mock Interview Room

Practice for: Tabibu Wa Kinywa Na Meno Daraja La II (Dental Therapist Grade II) at Public Service Recruitment Secretariat

Select difficulty level:
Your spoken accent / language — helps us capture your words accurately
Realistic mock interview with a live panel and personalized feedback

Similar jobs

Browse all jobs ›
Mwalimu Daraja La III C - Somo La Fasihi Ya Kiingereza (English
Public Service Recruitment Secretariat
Tanzania Other
Afisa Afya Mazingira Msaidizi Daraja La II (Assistant
Public Service Recruitment Secretariat
Tanzania Other
Mwalimu Daraja La III B - Somo La Hisabati (Mathematics Subject)
Public Service Recruitment Secretariat
Tanzania Other
Mwalimu Daraja La III C - Somo La Hisabati (Mathematics Subject)
Public Service Recruitment Secretariat
Tanzania Other
Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja La II (Office Management
Public Service Recruitment Secretariat
Tanzania Other
Mteknolojia Maabara Daraja II (Health Laboratory Technologist
Public Service Recruitment Secretariat
Tanzania Healthcare