Afisa Rasilimaliwatu Mwandamizi

Public Service Recruitment Secretariat
Tanzania
full_time

Job Description

1.1 VITUO VYA KAZI - OFISI ZA KANDA ZA SEKRETARIETI YA AJIRA
1.1.1 Kanda ya Kaskazini – nafasi 1
1.1.2 Kanda ya Kusini – nafasi 1
1.1.3 Kanda ya Magharibi – nafasi 1
1.1.4 Kanda ya Nyanda za juu Kusini – nafasi 1
1.1.5 Kanda ya Ziwa – nafasi 1

1.2 MAJUKUMU YA KAZI

i. Kufuatilia na kusimamia uzingatiaji wa Sheria za kazi, Kanuni za Kudumu za Utumishi
wa Umma (Standing Orders), Kanuni na Taratibu za Watumishi, pamoja na maelekezo,
miongozo na nyaraka mbalimbali kuhusu masuala ya utumishi;
ii. Kutunza kumbukumbu za watumishi kwa mujibu wa taratibu na miongozo iliyowekwa;
iii. Kushiriki katika maandalizi, utekelezaji na ufuatiliaji wa bajeti ya mwaka ya Kanda;
iv. Kutekeleza majukumu ya usimamizi wa watumishi, kuratibu pamoja na kuandaa vikao;
v. Kushughulikia na kusimamia masuala ya kinidhamu kwa mujibu wa Sheria, Kanuni na
Taratibu zilizowekwa;
vi. Kusaidia kukadiria na kupanga mahitaji ya rasilimaliwatu ya PSRS;
vii. Kushiriki katika uchambuzi wa mahitaji ya mafunzo na maandalizi ya Mpango wa Bajeti
ya Maendeleo na Mafunzo ya Rasilimaliwatu (HRDT);
viii. Kuandaa rasimu za waraka, maelekezo, matangazo na nyaraka nyingine zinazohusu
masuala ya watumishi;
ix. Kusimamia utekelezaji wa MMfumo wa Upimaji na Tathmini ya Utendaji kazi wa
watumishi (PEPMIS); na
x. Kutekeleza majukumu mengine yanayohusiana na majukumu yake atakayopangiwa na
msimamizi;

1.3 SIFA ZA MWOMBAJI

Kuajiriwa Wahitimu wenye Shahada ya Kwanza katika mojawapo ya fani zifuatazo; Utawala
wa Umma, Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Mipango na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, au sifa
zinazolingana na hizo (related fields) kutoka katika taasisi zinazotambuliwa na Serikali,
pamoja na uzoefu wa kazi usiopungua miaka saba (7) katika usimamizi wa Rasilimaliwatu.
Aidha, mwombaji lazima awe amefanya na kufaulu Mtihani wa Umahiri (Human Resource
Officer’s Proficiency Examination - PHR). Vilevile, mwombaji awe mtumishi wa Umma
aliyefanya kazi kwa Mwajiri wa sasa kwa kipindi cha muda usiopungua miaka mitatu na awe
tayari kujigharamia gharama za uhamisho.

1.4 NGAZI YA MSHAHARA

Utazingatia viwango vya mshahara vilivyoainishwa kwenye Muundo wa Maendeleo ya
Utumishi wa Taasisi.
MASHARTI YA JUMLA.

i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania ambao ni watumishi wa Umma;

ii. Mwombaji ni lazima awe mtumishi wa Umma aliyefikia ngazi ya Mwandamizi;

iii. Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutuma maombi na
wanapaswa kuainisha kwenye mfumo wa kuombea ajira ulemavu

walionao kwa ajili ya taarifa kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa
Umma;

iv. Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa kilichothibitishwa na
Mwanasheria/Wakili;

The rest of this advert is locked

Log in to read the full job — and 747 more open right now

You are reading the opening of this advert. An account is free and opens the rest of it, including the requirements and exactly how to apply before the deadline.

  • The complete description, requirements and how to apply
  • Build a professional CV aimed at this exact role
  • Link your WhatsApp and get every morning’s new jobs sent to you

How to Apply

How to apply is available to members

The employer’s application route — the email, portal or form, and the deadline — opens as soon as you have a free account.

Create a free account or log in
Practice Interview
00:00

Mock Interview Room

Practice for: Afisa Rasilimaliwatu Mwandamizi at Public Service Recruitment Secretariat

Select difficulty level:
Your spoken accent / language — helps us capture your words accurately
Realistic mock interview with a live panel and personalized feedback

Similar jobs

Browse all jobs ›
Mwalimu Daraja La III C - Somo La Fasihi Ya Kiingereza (English
Public Service Recruitment Secretariat
Tanzania Other
Afisa Afya Mazingira Msaidizi Daraja La II (Assistant
Public Service Recruitment Secretariat
Tanzania Other
Mwalimu Daraja La III B - Somo La Hisabati (Mathematics Subject)
Public Service Recruitment Secretariat
Tanzania Other
Mwalimu Daraja La III C - Somo La Hisabati (Mathematics Subject)
Public Service Recruitment Secretariat
Tanzania Other
Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja La II (Office Management
Public Service Recruitment Secretariat
Tanzania Other
Mteknolojia Maabara Daraja II (Health Laboratory Technologist
Public Service Recruitment Secretariat
Tanzania Healthcare