Dereva Daraja La II

Halmashauri Ya Wilaya Ya Chunya
Tanzania
full_time

Job Description

1.1. KAZI NA MAJUKUMU

  • Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;

ii) Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kazi;
iii) Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
iv) Kutunza na kuandika daftari la safari “ log book’’ kwa safari zote;

  • Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;

vi) Kufanya usafi wa gari; na
vii) Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.
1.2 . SIFA ZA MWOMBAJI:
Kuajiriwa wenye cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya
uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1)
Itigi Road, S.L.P73, Chunya simuyamezani: 025 2520121,Baruapepe: ded@chunyadc.go.tz,
tovuti:www.chunyadc.go.tz
bila kusababisha ajali pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata
madaraja husika. Vilevile, awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji magari
(Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au Chuo kingine
kinachotambuliwa na Serikali

1.3 NGAZI YA MSHAHARA

TGS B

1.2. MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – NAFASI TANO (5)

1.2.1. KAZI NA MAJUKUMU

  • Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida na za siri;

ii) Kupokea wageni na kuwasikiliza shida zao, na kuwaelekeza sehemu
wanapoweza kusaidiwa;
iii) Kutunza taarifa na kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao,
safari za Mkuu wake na ratiba ya kazi zingine;
iv) Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu
ya kazi;

  • Kupokea majalada na kusambaza kwa maofisa walio katika Idara/Kitengo/

Sehemu husika;
vi) Kukusanya, kutunza na kuyarejesha majalada na nyaraka sehemu
zinazohusika;
vii) Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mbalimbali ; na
viii) Kuandaa orodha ya mahitaji ya ofisi.

1.2.2 SIFA ZA MWOMBAJI

Kuajiriwa mwenye elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) na kupata cheti
cha Mtihani wa Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) Pamoja na Stashahada
(Diploma) ya Uhazili au Cheti cha NTA level 6 ya uhazili kutoka chuo chochote

tovuti:www.chunyadc.go.tz
kinachotambuliwa na Serikali. Aidha, awe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na
Kiingereza maneno 100 kwa dakika moja na awe amepata mafunzo ya programu za
kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powerpoint, Internet, Email na Publisher.

1.2.3 NGAZI YA MSHAHARA

TGS C

The rest of this advert is locked

Log in to read the full job — and 763 more open right now

You are reading the opening of this advert. An account is free and opens the rest of it, including the requirements and exactly how to apply before the deadline.

  • The complete description, requirements and how to apply
  • Build a professional CV aimed at this exact role
  • Link your WhatsApp and get every morning’s new jobs sent to you

How to Apply

How to apply is available to members

The employer’s application route — the email, portal or form, and the deadline — opens as soon as you have a free account.

Create a free account or log in
Practice Interview
00:00

Mock Interview Room

Practice for: Dereva Daraja La II at Halmashauri Ya Wilaya Ya Chunya

Select difficulty level:
Your spoken accent / language — helps us capture your words accurately
Realistic mock interview with a live panel and personalized feedback

Similar jobs

Browse all jobs ›
Climate Programme and Partnership Manager HEO DAR
British Embassy Dar es Salaam
Tanzania Other
SRHR policy analysis, advocacy and dialogue consultant
Restless Development
Tanzania Other
Grants Management & Compliance Officer job
CCBRT
Tanzania Other
Seeds Productions, Promotion and farm management professional
Farmlive Tanzania Limited
Tanzania Other
jobs
Kioo Limited for engineers, technicians, accounts and packaging
Tanzania Other
Transport & Customs Officer
Médecins Sans Frontières (MSF)
Tanzania Other