Dereva Daraja La II
Job Description
1.1.1 MAJUKUMU YA KAZI
i. Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari,
ii. Kuwapeleka Watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi,
iii. Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari,
iv. Kutunza na kuandika daftari la safari “log book” kwa safari zote,
v. Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali
vi. Kufanya usafi wa Gari,
vii. Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.
1.1.2 SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C
ya uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka
mmoja (1) bila kusababisha ajali pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia
sifa ya kupata madaraja husika. Wawe wamehudhuria mafunzo ya msingi ya
Uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au
Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali
1.1.3 NGAZI YA MSHAHARA
TGS B
MASHARTI YA JUMLA
Log in to read the full job — and 747 more open right now
You are reading the opening of this advert. An account is free and opens the rest of it, including the requirements and exactly how to apply before the deadline.
- The complete description, requirements and how to apply
- Build a professional CV aimed at this exact role
- Link your WhatsApp and get every morning’s new jobs sent to you
How to Apply
The employer’s application route — the email, portal or form, and the deadline — opens as soon as you have a free account.
Create a free account or log in