Dereva Daraja La II

Halmashauri Ya Wilaya Ya Kyerwa
Tanzania
full_time

Job Description

2.1 KAZI NA MAJUKUMU YA DEREVA DARAJA LA II
i. Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari
ii. Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi
iii. Kufanya matengenezo madogo madogo ya magari
iv. Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali
v. Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari (Log book)
vi. Kufanya usafi wa Gari
vii. Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu/ Msimamizi
wake wa kazi

2.1.1 SIFA ZA MWOMBAJI

Kuajiriwa wenye cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya
uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja
(1) bila kusababisha ajali pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata
madaraja husika. Wawe wamehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji magari
(Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au Chuo kingine
kinachotambuliwa na Serikali.

2.1.2 NGAZI YA MSHAHARA

Ngazi ya mshahara ni TGS B1.

MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI

The rest of this advert is locked

Log in to read the full job — and 763 more open right now

You are reading the opening of this advert. An account is free and opens the rest of it, including the requirements and exactly how to apply before the deadline.

  • The complete description, requirements and how to apply
  • Build a professional CV aimed at this exact role
  • Link your WhatsApp and get every morning’s new jobs sent to you

How to Apply

How to apply is available to members

The employer’s application route — the email, portal or form, and the deadline — opens as soon as you have a free account.

Create a free account or log in
Practice Interview
00:00

Mock Interview Room

Practice for: Dereva Daraja La II at Halmashauri Ya Wilaya Ya Kyerwa

Select difficulty level:
Your spoken accent / language — helps us capture your words accurately
Realistic mock interview with a live panel and personalized feedback

Similar jobs

Browse all jobs ›
Mwandishi Mwendesha Ofisi II
Halmashauri Ya Wilaya Ya Kyerwa
Tanzania Other
Climate Programme and Partnership Manager HEO DAR
British Embassy Dar es Salaam
Tanzania Other
SRHR policy analysis, advocacy and dialogue consultant
Restless Development
Tanzania Other
Grants Management & Compliance Officer job
CCBRT
Tanzania Other
Seeds Productions, Promotion and farm management professional
Farmlive Tanzania Limited
Tanzania Other
jobs
Kioo Limited for engineers, technicians, accounts and packaging
Tanzania Other